Ninaweza kuwa nini? Maelezo ya taaluma ya STUH/STEM kutoka A mpaka Z: What Can I Be? STEM Careers from A to Z (Swahili) (Swahili Edition)
Teachey, Tiffani
1735828963
ISBN 13: 9781735828961
Hardcover

Ninaweza kuwa nini? Maelezo ya taaluma ya STUH/STEM kutoka A mpaka Z: What Can I Be? STEM Careers from A to Z (Swahili) (Swahili Edition)

61
ING9781735828961
Special order direct from the distributor

Ninaweza kuwa nani? Taaluma za STUH/STEM kutoka A-Z ni kitabu cha picha za kialfabeti cha kumotisha na rahisi kusoma kinachofundisha kizazi chetu kijacho kuhusu taaluma za Sayansi, Teknolojia, uhandisi na Hisabati.Kitabu hiki kinatoa vielelezo vyenye rangi vya watoto sita tofauti wanaowakilisha taaluma mbalimbali za STUH/STEM (kwa mfano, wanaanga, madaktari, wanasayansi, na wahandisi, na kadhalika), kuwasaidia watoto(miaka 5 hadi 8) kujiona katika mojawapo ya taaluma za STUH/STEM, na kuwapa motisha ya kuandaa maisha yao ya baadaye kupitia STUH/STEM!


English Description:

What Can I Be? STEM Careers from A to Z is an inspiring and easy-to-read alphabet picture book that teaches our next generation about Science, Technology, Engineering, and Math (STEM) careers. This book provides colorful illustrations of six diverse children representing various STEM careers (i.e. astronauts, doctors, scientists, and engineers, etc), helping children (5 to 8 years old) see themselves in one of the STEM careers, and motivates them to shape their future through STEM!

Free ShippingOn orders $50 or more. North America only.Learn More